Devotha aliyewahi kugombea ubunge jimbo la Morogoro Mjini amesema kupewa nafasi mara nyingi kunawanyima wengine fursa ya ...
Mganga Mkuu mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Morogoro, Dk Daniel Nkungu amesema mabaki ya mwili mmoja kati ya mitatu ya ...
Kutokana na hali hiyo, Ulega ameagiza viongozi wakuu wa kampuni hizo kufika nchini kabla ya mwisho wa mwezi huu.
Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango, amesema ni muhimu kwa nchi za Kusini mwa Jangwa la Sahara kutumia fedha zinazokusanya ...
Serikali imewekeza dola milioni 22.3 (Sh 55.7 bilioni) kwenye kiwanda cha kuzalisha viuadudu cha Tanzania Biotech Product ...
Tangu wakati huo, Zelensky amekuwa akijaribu kumrudisha Trump upande wake, akichapisha kwenye mitandao ya kijamii kwamba ...
Mtandao wa Polisi Wanawake Tanzania (TPF Net) mkoa wa Mwanza umeadhimisha Siku ya Kimataifa ya Wanawake Duniani (IWD) kwa ...
Kwa mujibu wa Shirika la Habari la WION, Trump amechukua uamuzi wa kumteua mtoto huyo kutokana na matamanio yake ya kulitumia ...
Miili ya watu wanane waliofariki dunia katika ajali ya basi la AN Classic linalofanya safari zake kati ya Dodoma na Kigoma ...
Kulwa Mathias ( 31) na mpwa wake, Edina Paul, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na shitaka ...
Shirika lililojikita kutoa huduma na taarifa za afya ya uzazi nchini la Marie Stopes, limeanzisha huduma rafiki kwa kila mama ...
Mratibu wa michuano hiyo, Agnes Alcardo, amesema, lengo ni kuendeleza mshikamano miongoni mwa jamii hasa wakati huu wa ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results