Mwili wa marehemu, Mhoja Maduhu (18), aliyekuwa mwanafunzi wa kidato cha pili katika Shule ya Sekondari Mwasamba iliyopo ...
Familia ya Profesa Philemon Sarungi (89) imetaja sababu ya kifo cha bingwa huyo wa upasuaji na tiba ya mifupa ni moyo.
Katika historia ya Tanzania, jina la Profesa Philemoni Sarungi (89) ni miongoni mwa majina ya Watanzania wachache waliokuwa ...
Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Jatu PLC, Peter Gasaya (33), ameiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imfutie kesi ...
Serikali imesema upelelezi katika kesi ya kusafirisha kilo 332 za heroini na Methamphetamine, inayowakabili washtakiwa tisa, ...
Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango amehimiza kutolewa kwa elimu ya biashara ya hewa ukaa (kaboni) ili wadau muhimu kwenye ...
Jeshi la Polisi mkoani Morogoro linamshikilia Omari Mwanamtwa (60), dereva taksi, mkazi wa Chamwino Manispaa ya Morogoro kwa ...
Mbunge wa Busanda Tumaini Magesa amekiomba kikao cha Kamati cha Ushauri wa Mkoa (RCC) kuziagiza mamlaka za chini kuharakisha ...
Vijana 711,880 kutoka makundi tofauti wanatarajiwa kuongezewa ujuzi kulingana na fani zao nchini kupitia mradi wa vijana Plus ...
Mshambuliaji wa JKT Tanzania, Edward Songo amesema yeye na wenzake katika eneo la ushambuliaji wameshajua tatizo lililopo la ...
Ili kupunguza hali hiyo anasema ni muhimu kunywa maji ya kutosha angalau glasi nane au lita 1.5 kila siku kama ...
Baada ya kuibuka shujaa kwa kuokoa michomo mingi kwenye mchezo wa hatua ya 16 bora ya Ligi ya Mabingwa dhidi ya Paris ...