Ili kupunguza hali hiyo anasema ni muhimu kunywa maji ya kutosha angalau glasi nane au lita 1.5 kila siku kama ...
Mkali wa Afrobeat kutoka Nigeria, Yemi Alade amesema amekosa tuzo nyingi kutokana na kukataa kutoa rushwa ya ngono.
Siku kadhaa baada mwanafunzi wa kidato cha pili, Mhoja Mduhu kufariki dunia kufuatia adhabu ya viboko aliyopewa na mwalimu ...
Baada ya kuibuka shujaa kwa kuokoa michomo mingi kwenye mchezo wa hatua ya 16 bora ya Ligi ya Mabingwa dhidi ya Paris ...
Mshambuliaji wa JKT Tanzania, Edward Songo amesema yeye na wenzake katika eneo la ushambuliaji wameshajua tatizo lililopo la ...
Benchi la ufundi la Tabora United, limekiri kuwa vita yake na Singida Black Stars kuwania nafasi moja mojawapo kati ya nne za juu katika Ligi Kuu Bara inawatia presha ambayo ...
Miaka 21 iliyopita muungwana kutoka Kijiji cha Msoga ambaye sasa ni mstaafu, kama mstaafu wenu mpendwa, pamoja na kwamba ustaafu wao upo na tofauti sana kama mchana na usiku, aliamka siku moja ...
Ziara ya Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa, Elimu, Sayansi na Utamaduni (Unesco), Audrey Azoulay imetajwa kuleta neema Tanzania kwa shirika hilo kuongeza utaalamu na msaada ...
Rapa Kanye West ameweka wazi pindi atakapofariki basi angependa msanii mwenzake Drake awe msomaji wa hotuba katika siku hiyo ...
Dayosisi ya Mwanga ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) inatarajia kufanya mkutano mkuu maalumu wa uchaguzi, ...
Shindano hilo lililoibua msisimko mkubwa kutokana na kubeba majina ya wasanii wakubwa na pendwa zaidi kipindi hicho hali ...
Rais wa Marekani, Donald Trump ametangaza kile alichokiita onyo la mwisho kwa wapiganaji wa kundi la Hamas akiwataka ...